News

Utajiri wa haraka wamfanya kijana afariki akibweka kama mbwa (+Video)

on

Video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ni ya kijana anayedhaniwa kuwa kijana wa Yahoo akibweka kama mbwa na kisha kufariki.

Utajiri usiofafanuliwa ktk Bara la Afrika hautokani na Biashara, uhalifu, wanasiasa pekee, ila hata mazingira ya kishirikina pia hutajwa.

SAKAWA Juju, ametajwa kutafuta utajiri wa haraka ila wenye masharti mazito kama inavoonekana ktk video na kusababisha vifo vya kushangaza.

Hali hii hutokea ktk nchi nyingi za kiafrika ambapo vijana, wanaume, wanawake bila kusahau watu maarufu hutafuta utajiri wa haraka ili kutaka kuonekana angalau watu wa kisasa na mwisho wa siku hukosea.

Bonyeza Hapa kutazama video

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat