News

Kocha m’Burundi atangazwa kuwa kocha wa Tanzania, Taifa Stars

on

Kikao cha kamati ya dharura cha shirikisho la soka nchini Tanzania TFF kimependekeza na kumchagua na kumtangaza NDAYIRAGIJE ETIENNE kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania leo hii Julai 11 2019.

Ndayiragije ambaye anatambulika kuwa kocha mkuu wa klabu ya Azam FC ambae pia ni raiya wa Burundi amependekeza benchi lake la ufundi kusaidizwa na Juma Mgunda pamoja na Suleima Matola.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat