News

Picha kadhaa za ma staa walivo pendeza BUJA Music Awards

on

Usiku wa tarehe 7 Julai 2019, ndio siku ambayo zimegawika tuzo za BMA Buja Music Award toleo lakwanza kabisa.

Usiku huo kila mmoja alikuwa amedamshi ( Kupendeza ), Kwenye Red Carpet wamepita watu wengi ili kuweza kupiga picha tofauti wakiwemo wageni waalikwa na wasanii tofauti, wacheza kandanda, wanamitindo na kadhalika…

 

KZ TV na kelvinzehot.com pia tumehudhuria tukio hilo, hivo basi tumekusogezea picha baadhi za ma celeb tofauti waliohudhuria tukio hilo.

 

Itaendelea…

Please follow and like us:
0

About Young Babou

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat