Sports

Kocha wa misri afutwa kazi, Raisi wa EFA kujiuzulu

on

Mwenyekiti wa shirikisho la soka nchini Misri HANI ABU REDA ametangaza kujiuzulu baada ya Misri kuchapwa 1 bila dhidi ya Afrika kusini na kuondolewa katika michuano ya AFCON.

Hani Abu Reda, Raisi wa EFA Misri

ABU REDA amejiuzulu na kumfuta kazi kocha wa timu hiyo JAVIER AGUIRRE raiya wa Mexico, aliekuwa mkatabani mpaka 2022…

Kocha wa Misri

Chanzo kujiuzulu na kumfuta kazi kocha ni kwamba kuondolewa ktk AFCON ni kinyume na matarajio yao.

Abu Rida kwasasa ataendelea na jukumu lake kama mjumbe wa CAF na FIFA kwenye kamati ya maandalizi.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat