News

Jogoo ashtakiwa mahakamani ufaransa

on

Kisiwani Oléron, nchini ufaransa, Jogoo mmoja aliyepewa jina la Maurice amekuwa kero kwa majirani, Analaumiwa kwa kupiga kelele (kuwika) kila alfajiri.

Bi. Corinne Fesseau ambaye ndie mmliki wake amesema kuwa jogoo wake anafanya kile ambacho kila jogoo anatakiwa kufanya…

Kesi ya jogoo huyo imeshaanza kusikilizwa katika mahakama ya mji wa magharibi wa Rochefort tangu Alhmisi.

Jogoo huyo amepata uungwaji mkono kutoka kwa wafugaji kuku wengine ambao wamekusanyika nje ya mahakama.

Bi Fesseau, na majirani zake wengine walisema hakuna mjadala jwa swala hilo kwa sababu ufugaji kuku ni moja kati ya sehemu ya maisha vijijini.
Utatuzi wa kesi hiyo unasalia na mahakama ambayo itatoa uamuzi mwezi septemba mwaka huu.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat