Sports

Habar njema kwa mashabiki wa Chelsea (+video)

on

Frank Lampard ndie kocha rasmi wa timu hiyo, kuidhinishwa kwake kumecheleweshwa jana jumatani kwa kutokana na changamoto za kiufundi zilizoibuka kwa facebook na Instagram, hali ambayo haikuwa nyepesi kusambaza picha mitandaoni.

Klabu ya Chelsea pia imeanza mazungumzo na Mason Mount ambaye amechezea Derby msimu uliopita chini ya Frank Lampard.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat