News

Maajabu mitandaoni, Mrembo aibuka na jipya kuhusu T max (+ Sauti)

on

Mwanadada aitwae Flora Mugisha raiya wa Burundi mwenye makazi yake uarabuni DUBAI ameibuka na mapya ambayo wengi walikuwa hajuwi kuhusu mkali wa michano nchini Burundi T-max.

Mrembo huyo amedai kuzaa na mkali huyo ila T-max hatowi huduma kwa mtoto, na ndipo Flora kaamuwa kuandika risala nzito kwenye ukuta wake wa facebook.

Ivi wew nimwanaume gani unajua kuweka mbegu usijue kuyipalilia shamba lako ivi umetegemea umeza na mim umetegemea Mtoto tamulea nawakati tumemuza wote tumeshindwana Whastapp nadhani utayelea tu wala unategemea kazi yangu ndo imulishe Mtoto wako imuvishe ata pesa ya shule nitowe kwanini hutowi matumizi ya mtoto wako Wallah wew ni too much umeona Block nilio kupa Whastapp hayitoshi umeamua kupiga simu zako kwa mdogo angu usije kutwalibia mtoto bro mademu niwengi siongei mengi ila ipo siku nitaongea mengi kuza nakulea sio kuza nakutupa yini ukae ukijua kua sikuogopi kabisa mwanaume alie kamilika niyule anae pambana najukumu lake sikua naomba matumizi ya mtoto ukazan nashida yapesa zako me nakazi inao ningizia pese kila mwezi Alhamdulillah selekali inamufahamu mtoto ata chelia atatumika soon nabado ndo naanza ivo mengine yapo njiyani Allenz Reprisiano Asante kwakunitumie picha yake ujue wew ndo umepekekwa kua shahid wakati anaandikisha mtoto asante bro #T-MAX TOWA MATUMIZI YA MTOTO 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡

      Post ya Flora huko FB

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat