News

Barnaba Classic amwaga sifa kemkem kwa Natacha (+Video)

on

Msanii wa Bongo Fleva Barnaba Classic ametamka kwamba Natacha Nimsanii wa pekee kutoka katika Buja Fleva ambaye anafanya vitu adimu zikiwemo video za kisasa.

“ Natacha ni msanii anaefanya Mziki mkubwa wa kisasa, mimi nathubutu kumwita Simba wa kike hapa Burundi, ni mwimbaji wa kike anaejiamini sana…”

Ametamka maneno hayo katika mahojiano kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Bujumbura, baada ya kuwasili nchini humo.

Safari ya Barnaba na msafiri Travellah nchini Burundi imewezeshwa na usimamizi wa Natacha Hotel Club Du Lac Tanganyika ili kuja kumalizia kazi mpya ambayo Natacha kamshirikisha mkali huyo kutoka Bongo Fleva.

Barnaba Pia amesema kuwa Hakuna manesho yoyote anayotarajia kuyafanya nchini humo ila ni kumalizia wimbo huo.

Tetesi zinasema kwamba wimbo huo huwenda ukabatizwaa jina la JIGI JIGI.

MAPOKEZI YA BARNABA NCHINI BURUNDI video ya E Plus257

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat