News

HOIMA: WAWILI WASADIKIKA KUFA KWA UGONJWA WA EBORA.

on

Watu wawili kutoka katika wilaya ya kagadi kanda ya magharibi nchini Uganda, wanasadikika kupoteza maisha kwa ugonjwa wa ebora.

Ripoti za kitaalamu hazijathibitisha taarifa hizi, Richa ya dalili za kuugua kwa wale waliopoteza maisha kudhihirisha kuwa ni ugonjwa wa ebora.

Uchunguzi wa kisayansi kubaini ukweli, unaendelea katika kituo cha utafiti wa afya nchini Uganda ambapo taarifa kamili ya kitaalamu itatolewa baada ya uchunguzi huo.

Wilaya ya Kagadi, inapatikana kilometa 245 magharibi mwa jiji la Kampala, katika mji wa Hoima kanda ya Magharibi mwa Uganda.

Please follow and like us:
0

About Linuce Libent

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat