News

DAR ES SALAAM: MAMIA WAJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA DR. MENGI.

on

Mwili wa aliyekuwa mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya IPP Dr. Leginard Mengi, umewasili leo jijini Dar es salaam nchini Tanzania kutokea mjini Dubai.

Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam pamoja na viongozi mbalimbali wamejitokeza kuupokea mwili huo katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na baadae maandamano kuendelea mpaka hospitali ya Lugalo.

Chanzo ITV

Please follow and like us:
0

About Linuce Libent

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat