News

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI WA IPP AFARIKI DUNIA.

on

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya IPP Leginard A. Mengi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo 02 Mei akiwa mjini Dubai kwa mujibu wa Kituo cha habari cha ITV.

Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro, na hadi mauti yanamkuta alikuwa na umri wa miaka 75. Atakumbukwa kwa mchango wake katika taifa la Tanzania, kwani aliamua kuitumia sehemu ya utajiri wake katika kutoa misaada mbalimbali.

Tafadhali fuatilia kwa taarifa zaidi…….

Please follow and like us:
0

About Linuce Libent

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat