News

Chanzo cha Kifo cha Papy Faty, Ripoti Kamili ya daktari (+Video)

By

on

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alianguka wakati wa mechi ya ligi kati ya Malanti Chiefs na Green Mamba kwenye uwanja wa Killarney huko Piggs Peak nje ya Mbabane.

Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Burundi, ambaye alitolewa kwenye mkataba wake na Wits msimu machache uliopita kutokana na matatizo ya moyo, akaanguka uwanjani ikiwa ni baada ya dakika 15 tu mchezo ulipoanza.

Alikimbizwa hospitali, ambako imeripotiwa kuwa amekufa kwa tatizo la moyo.

Kifo cha Faty kimethibitishwa na mmoja wa viongozi waandamizi wa Malanti Chiefs lakini hakutaka kutowa taarifa zaidi kabla ya jamaa wa karibu wa mchezaji huyo.

Faty hivi karibuni aliwasaidia timu yake ya taifa yaBurundi INTAMBA MURUGAMBA kufuzu fainali za Kombe la Afrika la Mataifa.

Please follow and like us:
0

About admin

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat