News

Diamond | Zari alikuwa akinicheat na Mr P wa P Square

By

on

Kupitia Exclusive ya 88.9 Dar es salaam ( WASAFI FM ) Nyota kinara wa muziki Afrika kutokea Tanzania Nasib Abdul Juma Diamond Platnuzm amefunguka kwa mara ya kwanza chanzo cha kuachana na mzazi mwenzie Zarina Hassan au Zari The Boss Lady.

“Alikuwa akitoka kimapenzi na Mr P wa P square, nimemfumania msg kwenye sim yake, pia amecheat na Trainer wake, mpaka sometimes alikuwa anamleta mpaka ndani kwangu.” Alisema Diamond Platnumz

Ikumbukwe kuwa ni takriban mwaka na miezi kadhaa tangu wawili hawa kutengana, ila Diamond alikuwa bado hajazungumza chochote kuhusiana na kutengana kwao.

Please follow and like us:
0

About admin

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat