News

Mabilionea watano waliokuwa karibu na Bouteflika wakamatwa

on

Jumapili, Aprilr 21 Serekali ya Algeria imewashikilia nguvuni ndugu wa nne kutoka patika familia ya Kouninef ambayo ni matajiri zaidi nchini humo pia ni wafanya biashara MaBillioea waliokuwa karibu na Raisi wa zamani Abdelaziz Bouteflika alielazimishwa kujiuzulu april 2 kutokana na malalamiko ya wananchi.

 

Tarifa ya televisheni ya taifa inasema kwamba matajiri hao wanne pamoja na Issad Rebrab anayetajwa kuwa tajiri zaidi nchini humo, na ajihusisha na biashara ya chakula na kusafirisha sukari ghafi Brazil, Tunisia, Libya na chi nyingine za mashariki, wanashikiliwa kwa uhunguzi wa idara ya kupinga rushwa.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat