News

News | Milipuko ya bomu yauwa watu 160 Sri Lanka

on

Inaripotiwa kutoka Sri Lanka milipuko kadhaa imelipuka ktk makanisa kadhaa, ripoti kutoka kwa Polisi wa Colombo.
Milipuko 6 ya mwanzo imepiga makanisa matatu na hoteli tatu za Nyota 5 wakati watu wakisherehekea Pasaka.
Haya ni mashambulizi makubwa ya kwanza tangu mwisho wa vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka 10 iliyopita.

Milipuko hiyo imeuwa watu 160 na wengine 500 kujeruhiwa.
Kwa mujibu wa Ripoti za Jarida la Economic Time, mlipuko ktk makanisa na mahoteli na sehem mbali mbali ilitokea Asubuhi majira ya saa 2 na dakika 45.

Please follow and like us:
0

About Linuce Libent

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat