Stories

Story | Mfahamu Demetrius Shipp Jr ambae hufananishwa na 2Pac Shakur

By

on

Huyu ndie Demetrius Shipp Jr. ambae wengi humfananisha na Shakur Tupac, Shipp Junior amezaliwa Novemba 20, 1988 Carson, California, umarekani.
Ameteuliwa kuigiza nafasi ya Tupac baada ya kugunduwa kuwa anafanana na legendary wa hip hop duniani Tupac Amaru Shakur mwakani 2011.

Babaake Shipp amefanya ndie alie produce album ya Tupac ya mwisho “The Donkilluminati : The 7 Day theory” mwaka 1996.

Please follow and like us:
0

About admin

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat