Sports

Sport | Waziri wa michezo wa Gabon afuta time ya Taifa

on

Waziri wa michezo wa Gabon Bw. ALAIN CLAUDE BULIE BI NZE ametangaza kufuta timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kupoteza mechi ya timu hiyo iliocheza dhidi ya Burundi wiki jana ijuma most 23 machi 2019 na kuondolewa kwenye vikosi vitakavyo hudhuriya michwano ya matimu ya Afrika #AFCON2019Q  huko Misri, kwa madai kwamba timu hiyo haina upendo na nchi yao, Bw. ALAIN CLAUDE amesema hata mwalimu wa timu hiyo Bw. Daniel Cousin amble ni mwalimu wa time hiyo pamoja na stafu yake wote wataondoka na taifa hilo litaanza zoezi ya kusajli wachezaji wapya na mwaqlimu mpya.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat