Stories

Big Fizzo amchana LIVE Bien Freema (+video)

on

Habari inayosambaa mitandaoni na katika vyombo vya habari tofauti leo hii ijumaa mosi 9 march, 2019, ni video ya gwiji wa Buja fleva Mugani Desire ( Big Fizzo ) inayomwonyesha mkali huyo akizungumza kwa hisia huku akidhihirisha kuumizwa na bango ( post ) ya msanii mwenzie Bien Freema alipomwandika kuwa hana mapenzi na Buja Fleva, baada ya kuonekana picha ya Fizzo akiwa uwanja wa ndege akisafiri kuelekeya Italy ambako yupo mkewe na mwanaye mpya ( New Born )…

 

VIDEO yenyew hii hapa

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat