News

News | R. Kelly amezieleza hisiya zake kwa shutuma zinazo mkabili

on

Kupitiya  Lifetime TV ya nichini umarekani, Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini humo R. Kelly, kwa mara ya kwanza amekubali kufanya mahojiano na vyombo vya habari.

Robert Kelly, amedai Kwamba shutuma zote zinazomkabili hajahusika nazo.

R Kelly ambaye alionekana mtu wa huzuni mpaka kupelekea kutokwa machozi amesema kuwa kuna watu wanapanga kumwangusha na kumtengenezea skendo.

“I didn’t do this stuff. This is not me”. amesema R kelly.

Hivi karibuni kulikuwa na Documentary inayoitwa Surviving R Kelly kupitia Lifetime TV, inayoelezea maisha ya msanii huyo hasa tabia zake za kuwazalilisha kingono watoto Chini ya miaka 13.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat