News

News | Freema boy amtoleya uvivu Fizzo

on

Mwanamuziki na nyota kutoka nichini Burundi hasa jijini Bujumbura, Bien freema hajamlaziya damu nguli wa muziki na nyota kutoka nchini humo amable ni Mugani Desire a.k.a Fizzo kwa kile yeye alichokiita vijitabiya.

Ni baada ya Fizzo kuonekana uwanja wa ndege akisafiri kuelekeya nchini Italia, huku akiacha familiya ya muziki wa Buja Fleva wakiwa katika udhuni mkubwa, baada ya kufiliwa na kiongozi au mwenyekiti wa chama cha wanamuziki hayati Bruno Simbavimbere a.k.a Memba ijumaa wiki jana, ikiwa bado hajafika hata mara moja msibani tena ikiwa imesaliya siku moja tu ili hayati asindikizwe patika nyumba yeke ya milele…

 

Freema boy, ameandika jumbe mzito wenye maneno ambayo wengi wamevutika nayo.

 

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat