News

News| Kingorongoro aanguka kifudifudi mbele ya Trust no body

on

Rapa anayetamba kwa wimbo Coming soon, Magic soldier Kingorongoro, Hatimaye amegundua na ku kiri kosalake mbele ya uongozi wa trust nobody.

Ni baada ya wiki kadhaa rapa huyo kuandika ujumbe mzito wenye maneno makali dhidi ya uongozi  huo.

View this post on Instagram

Nilikupa Kicwa👤 Umekula Na Maskiyo👂 Umenila Kama Mcwa🦂Kwa Mti🌱 Wa Mû Grevelio… Nilizani Manager🙄 Kumbe Manager siyo😝 Kazi Kunijengea Cuki na matangazo Ya Radio.. Umwana yankwa niwe Akura Only God can Judge🙏 Nashanga Unanicora hujaninunulia Bajaji🚆 Usinipige Teke Cura🐗 Lifti yaako Siitaji Sabu Ata Nikidorora Hutonikopa Mtaji💲 Vyako Vinakushinda Vyangu Vina kuusu nini❓❓ Nishakupa manati🏹 Wanda Acana na mimi🔨🗡🔫 Nakuombea Uishi💯 Uone mafanikiyo Yangu We sinjo Unasemaga Siwezi Fanya mziki bila Management⁉❓❓❓ N.B "Mindo yule Maji kamwe Sitekwi na Wavu" #King👑Orongoro Fanya yako na mimi nifanye Yangu Tkutane Kilelenii Eti TrustNoBody Mimi Mwenyew Sikuaminii ata Kidogoo FuckOfff🚯🚯 🔜🔜🔜🔜🔜🔜🔜🔜✅✔ Kwa Wale Wooote Ambao walikuwa Wanasubiri kitu cangu Kipyaaa tayari Cover IPO uraiyanii My New Song #ComingSoon is Coming😂😂😂 Twende tuka Subscribe You Tube Ili Tuwe Wakwanza kupata Notification

A post shared by Magicsoldier Kingorongoro (@kingorongoro257) on

leo hii mapema, majira ya saa nane usiku, Kingorongoro ameandika nyaraka mbili tofauti huku akiomba uongozi huo  msamaha.

Ikumbukwe kwamba Trust No Body walikuwa wakimsimamia kazi zake chini ya mkataba, ambapo Magic amepewa fursa dhahabu ya kwenda kufanyiwa nyimbo takriban tatu huko jemhuri ya muungano wa Tanzania, moja wamo ni wimbo aliyoshirikiyana na Baraka Da Prince EX GIRL FRIEND.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat