News

News| Macron Maji shingoni, Vizibao vya manjano hawamwachi salama

on

Serekali ya ufaransa inatafakari kurejesha sheria ku watoza kodi zaidi matajiri ambao raisi Emmanuel Macron ameitupilia mbali pindi alipoingia madarakani.

Waandamanaji ambao walikuwa wakiandamana kwa ziki kadhaa mjini Paris na kwengineko nchini humo wamevalia vizibao vya manjano kupinga sera za kiucumi za Macron, walitaka sheria hiyo kurejeshwa na kumshtumu raisi huyo kwa kuwapendelea matajiri nchini humo na badala yake kuongezea kodi walio stafu na wengine.

picha ya La Liberation                                                                                  

picha ya RT en France

 

Msemaji wa serekali  ya ufaransa bwana Benjamin Griveaux alisema endapo jambo halifanyi kazi basi wanabusara ya kulibadilisha.

picha ya BFMTV

 

Vuguvugu la vizibao vya manjono limeanza kupinga nyongeza kodi ya mafuta ya Diesel limegeuka kuwa maandamano makubwa ya kupinga kuongezeka kwa gharama ya maisha na kupinga sera za Macron zinawoonekana kuumiza watu wenye kipato cha chinim serekali hapo jana imelazimika kufutilia mbali ongezeko ya kodi ya mafuta ambayo ingeanza kufanya kazi mwezi januari.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat