Bio

bio

By

on

 

Rukundo Kelvin, mzawa wa Bujumbura, Kanyosha, ni mtoto wa tatu kwenye familiya ya watoto sita ya Banzubaze Abdul Aziz na Ndayisaba Saidati.

Wazazi wake walimuaanzisha shule akiwa na miaka 5 na hatimae kumaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 11, na kumaliza sekondari akiwa na miaka 17 mwaka 2012, kahitimu chuo kikuu ( Bachelor degree) akiwa na miaka 21 mwaka 2016.

Wakati akisubiri mamatokeo, Amejiunga na chombo cha habari Classic Media ili kufanisi kile alichohitaji kama ndoto ya maisha.

Amepata uzoefu wa kutosha, baada ya kufahamiana na Isaac MANIKURAKURE ambae alikuwa zaidi ya rafiki.

Baada ya mwaka mmoja amejiunga na waandishi wa habari na watangazaji wengine baada ya kugundua umahiri wake kazini, na kuunda chombo cha habari New Generation Media257 (NGM257)

Mpaka sasa Kelvin zehot ni mmiliki wa tuzo 1 ya heshima kama mtangazaji wa pekee anaejali wasanii na sanaa ya Diaspora mwaka 2017, tuzo hiyo amekabidhiwa na Jumuiya ya warundi wanaoishi nchini Australia (Burundian Community in Australia).

Kupitia Classic Fm na NGM TV257 ndipo aliposhawishiwa kufunguwa Website yake ya kelvinzehot.com ambayo  mpaka sasa inasimama nafasi ya pili nchini Burundi kwa kufwatiliwa kwa karibu baada ya ngm257.com.

Mtu aliekuwa akimhimiza kufanya kazi kwa bidii na kuto kujali changamoto zinazo mkabili , ni mke wake GIHIMBARE Judie-Caelle

Shukrani za pekee kwa Martin Farheen na mkewe Jolaiyah Masuudi, Gihimbare J.Caelle, Manikurakure Isaac, Haman Bukuru, Raphael Nyandwi ambao walikuwa washauri wake wazuri.

Please follow and like us:
0

About admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat