News

News| Msiba mkubwa Bantu Bwoy

on

Ni takriban siku sita tangu msiba huu kwenye Bujua fleva uanze rasmi, jumapili majira ya saa tatu usiku ndipo msiba huu ulipo anza, na umeanza kama utani na hatimaye kuonekana msiba mkubwa, Wimbo wa kwanza (FYEE) umevijishwa siku hiyo majira hayo na watu wasiyojulikana, ilipotimu saa sita kamili usiku wa tareh 26 jumatatu ndipo Fizzo alipoamuwa kuachia wimbo wake rasmi ila baada ya watu wasiojulikana kuuvujisha…

Kwa muujibu wa mahojiano aliyofanya na kituo cha habari cha BUJA FM, amedai kuwa hiki kitendo hiko hakijamvunja moyo, na ni moja kati ya changamoto kwenye muziki huu.
Al hamisi tareh 29 Disemba saa tano usiku wimbo wa pili umevuja ( Trust Me fat Double J & Kiriku), haijasikika sauti wala kuonekana kwa malalamiko yoyote hadharani kutoka Bantu Bwoy, hiyo haijakaa vizuri nyingine (IYOMBA) ikavuja baada ya ma saa 9 yaani saa mbili usiku, baada ya ma saa 24 ningine (SIBEZA) ikavujishwa saa mbili usiku.

malalamiko ya wadau ni kwamba mchezo huo unafanyika kati yao (Bantu Bwoy) baina ya wasanii na waandaji, wengine wanadai kama ni mchezo wa fizzo mwenyewe ila fizzo anakanusha tuhuma hizo.
“Tupo katika harakati za utafiti wa kina ili kumjuwa ni nani muhusika na wote watatajana.”

Ikumbukwe kuwa Fariouz alikuwa akiandaa Album nyingine ambayo hizi nyimbo zote zilikuwemo, swali ni je! nyimbo hizi zimevujishwa tayari, zitafaa kuingia kwenye mtiriko wa Album?

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat