News

News| Elly’s boy ampiga Sat B rungu la kichwa

on

Majira ya saa saba usiku tareh 1 Desemba, yaani leo hii, Mkali wa ma melody Elly’s Boy ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook huku akikemeya vikali kitendo kichafu anachofanyiwa Fizzo ( Kuvujishiwa nyimbo tatu tofauti ndani ya wiki moja) huku akimlenga Sat B kwa muujibu wa risala yake.

Nisiku chache tuzimepita ulipigamagoti huku ukilia kama mtoto mdogo alie mkosa mamayake mzazi huku ukisema mwenyewe kwamdomo wako kua Big fizzo ulikua ukimtazama na amekua mfano boro sana kwako naukasema pia ulitamani kuhudumia familia yako kupitia mziki lakini kwakupitia mgongo wa Big fizzo ulifanikiwa so usisahau ulipo toka napia iwazekesho yako namziki siosiasa chaliangu fanya mziki mzuri warundi wataku supporte chuki na roho mbaya havitakufikisha popote usitafute kiki acha kiki ikufwate naupunguze unafki naukumbuke ulipo pata ajali Big fizzo alikulipia mpaka pesa hospital # kwahio wewe unamlipa matusi leo? Siopoa tafuta pesa mzeee baba acha ntantalila huna hata milioni 30 bank siku ukiwanazo siutatukanyaga? Nanikukumbushe tu ukimuona nyani kazeeka basi ujue amekwepa mishale mingi…..endeleeni kuhonga pesa ili waendele kuvujisha nyimba za studio za Bantu Bwoy ila soon mtaumbuka (namuachekutembelea gari zabei ya kapoti) ukiga kunyakwatembo utachanika…………

ikumbukwe kuwa Karume na Mugani ni wasanii wawili wanaoonekana kwenye ushandani mkubwa wa kimziki, ndiyo maana watu wengi humuhisi Karume kwa jambo lolote baya linalomsibu Mugani pia Fizzo anahisiwa kwa jambo lolote baya linalomsibu Sat B.
wengi hujiuliza kwanini Lolilo hawamshuku kwa lolote kuhusiana na uvujishaji wa nyimbo hizi za Fizzo wakati na yeye pia ameonekana kwenye vuta nikuvute na Fizzo hapo awali?
Niwakumbushe kwamba Lolilo tayari ameshasuluhisha utofauti wake yeye na Fizzo.

Please follow and like us:
0

About Kelvin Zehot

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat