News

News| Afisa Raj B: Fizzo ni snitch mwenye roho mbaya

By

on

Ni muda mrefu tangu Rapa Afisa Raj B kuonekana kumshambulia mkongwe Mugani Desire (Fizzo) huku akitowa malalamiko yake kwenye mitandao ya kijamii hususan Facebook, na maranyingi alikuwa akitowa wimbo, kwenye mashairi yake anasikika akimtolea mafumbo msnii huyo na wengi kujiuliza kwanini kilasiku Afisa na Fizzo.

katika mahojiano aliofanya na mwandishi wa NGM TV257 afisa aliweza kufunguka wazi na kuzungumza nini tatizo.

mmmh! hakuna kitu kikubwa ambacho kinaendelea isipokuwa ni muendelezo wa kile kitu ambacho kiliwahi kutokea mwaka 2016 ambapo nilipokuwa natetea haki yangu, kuna kipindi kuliwahi kuwa mzozano sana nikiwaanbia kwamba kuna nyimbo ambazo nilikua nimemuandikia fizzo, alafu nikasemaga kama kweli wewe unjiita msanii mkubwa umiza kichwa chako ufanye nyimbo zako, lakini olewako ukiimba wimbo ambao nimekuandikia utaaibika” alisema Afisa

Kusema kweli hakuna makubaliano yaliokuwa kati yangu mimi na yeye, kusema ukwelijamaa mimi nilikuwa namkubali kipindi kile, lakini nilikua sijui kama ni Snitch, imagine mpaka mimi nikajitolea nikampa mpaka jina la Album amabayo alitowa FIZZOLOGY na pia Albuma ambayo anaenda kuitoa leo DESIDERATUS aidiya yangu mimi ndie niliempa yeye hata mwenyewe hilo analijua,japo anaweza akabisha kwenye media ila ukweli mwenyewe anajua

Afisa Raj B anavuma kwa wimbo wake R amekiri na kutamka kuwa kati yake na fizzo mambo siyo mazuri.

Fizzo ni snitch pia sijawahi kuona mtu mwenye rohombaya kama fizzo, ni mtu ambae anatakaga yeye ndo awepo siku zote, mi najua ameona mimi nina uwezo mkubwa kimziki akinishika mkono labda naweza nikampita hata yeye alipo, mpaka leo anatembelea mawazo yangu yani naweza nikasema kichwa chake kilishakuwa formated.”
amekiri pia kuwa wimbo mpya huu wa #Fyeee ilikuwa ni wazo lake na wimbo ulikuwa unaitwa ” F R “ambayo maana yake ni Fizzo na Raj B.”

mzozo huu unaleta gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki wa pande zote mbili wakionekana kushambulia upinzani.

Chanzo cha Habari NGM TV257.

Please follow and like us:
0

About admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »
WhatsApp chat